Serikali
ikiwa inapambana kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma bora za afya
imekua kinyume katika Hospitali ya Mkoa wa Lindi kwani Hospitali hiyo
inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo ukosefu wa vitanda katika wodi
ya akina mama wajawazito na watoto.
Kufatia changamoto hiyo inapelekea akina mama hao kulala watu wawili katika kitanda kimoja hali ambayo si mzuri kwa afya zao.
Changamoto nyingine ni uhaba wa watoa huduma katika wodi hiyo ya akina mama wajawazito.
Post a Comment