Na goli pekee la kufutia machozi la Arsenal limefungwa na Mohamed Elneny dk ya 51 kipindi cha pili.
Barcelona imeifunga Arsena jumla ya mabao 5-1 kufuatia ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza uliopigwa dimba la Emirate.
Katika mwingine Buyen munich imechomoza na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Juventus ya Italia.
Mbao ya Buyen yamefungwa na Lewandowski , Thomas Muller , Thiago Alcantara na kingsley Coman,huku magoli ya Juventus ya kifungwa na Paul Pogba, na Juan Cuadrado.
Kwa matokeo hayo Buyen imeshinda jumla ya bao 6-4 kufuatia sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa awali.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.