Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora(wa
pili kushoto) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja Mradi bw. Xiong
Hazbin (Kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip
katika ziara ya kutembelea kituo mahiri cha taifa cha kutunzia
kumbukumbu kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora(kushoto) akimsikiliza maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA
wa Wizara hiyo Eng. Peter Philip kuhusu mitambo ya kupozea umeme
iliyoko katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo
kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Mitambo ya kupozea umeme iliyopo katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora(kulia) akiongozana na Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo Eng.
Peter Philip na baadhi ya maaafisa wa Wizara wakati wa ziara ya kukagua
kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo kijitonyama
jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora(kushoto) akipewa maelezo ya namna hali ya usalama
inavyozibitiwa katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu
kilichopo kijitonyama jijini Dar es Salaam kutoka kwa Mkurugenzi wa
TEHAMA Eng. Peter Philip .
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora(kushoto) akionyeshwa mitungi ya kuzimia moto Salaam kutoka kwa
Mkurugenzi wa TEHAMA Eng. Peter Philip alipofanya ziara yake ya
kutembelea kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu kilichopo
kijitonyama jijini Dar es .
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora(kushoto) akionyeshwa sehemu ya chumba cha kuhifadhia Jenereta
kilichopo katika kituo mahiri cha taifa cha kutunzia kumbukumbu
kijitonyama jijini Dar es Salaam ,kutoka kwa Mkurugenzi wa TEHAMA Eng.
Peter Philip .(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)
Post a Comment