Wananchi wote mnambushwa kuwa serikali inatoa huduma ya matibabu BURE kwa akina mama WAJAWAZITO kabla na baada ya kujifungua na watoto walio na umri chini ya miaka mitano.
KWA TANGAZO HILI
Mnakumbushwa kutambua haki yenu hiyo mliyopewa na serikali.
Imetolewa na
KWA TANGAZO HILI
Mnakumbushwa kutambua haki yenu hiyo mliyopewa na serikali.
Imetolewa na
Gaudence O. Nyamwihura
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

Post a Comment