Mgeni
Rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa Wanachama na Wadau
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta
ya hifadhi ya jamii na umuhimu wa kuzingatia mabadiliko", Naibu Waziri
wa Fedha na Mipango, Mh. Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake wakati
akifungua mkutano huo uliowakutanisha Wadau mbalimbali, unaofanyika kwa
siku mbili kuanzia leo February 11 - 12, 2016 kwenye Ukumbi wa Kimataifa
wa Mikutano wa Julius Nyerere, Jijini Dar es salaam. Katika hotuba yake
ya Ufunguzi huo, Mh. Kijaji ameupongeza uongozi mzima wa PPF kwa kazi
nzuri wanayoifanya katika suala zima la kuihudumia jamii, pamoja na
kuipongeza ameutaka mfuko huo kuwakumbuka Wakulima kule vijijini kwa
kuwaunganisha katika mtandao na kuwaingiza katika mfuko huo ili nao
wapate kunufaika na mafao ya uzeeni.PICHA NA OTHMAN MICHUZI - MMG.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa 25 wa wanachama na wadau wa PPF uliobeba
kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta ya hifadhi ya jamii na umuhimu wa
kuzingatia mabadiliko", unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo February
11 - 12, 2016 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,
Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhan Kijjah
akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mh.
Ashatu Kijaju.
Baadhi
ya Wadau washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Mgeni Rasmi katika
ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa PPF
uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta ya hifadhi ya jamii na
umuhimu wa kuzingatia mabadiliko", Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mh.
Ashatu Kijaji alipokuwa akifungua mkutano huo uliowakutanisha Wadau
mbalimbali, unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo February 11 - 12,
2016 katika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,
Jijini Dar es salaam.
Meza kuu wakati mkutano ukiendelea
Mmoja
wa Wadau wakubwa wa mfuko wa PPF, Bwa.Bakari Kaoneka aliyekuwa akifanya
kazi katika Ofisi ya Msajili wa Madawa akitoa ushuhuda wake mbele ya
wadau wa mfuko huo kuhusiana na namna alivyonufaika na Fao la Uzeeni
kupitia mfuko huo, Bw. Bakari ametoa angalizo kwa vijana wengi
wanaojishughulisha na kazi mbalimbali kuwa wafikirie ipo siku moja na
wao watastaafu,kwa hivyo ni lazima wajiwekee akiba ya uzeeni.
Meneja
Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele akijadiliana jambo
na baadhi ya wafanyakazi wenzake wakati wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa
Wanachama na Wadau wa Mfuko wa PPF uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa
sekta ya hifadhi ya jamii na umuhimu wa kuzingatia
mabadiliko", unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo February 11 - 12,
2016 katika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,
Jijini Dar es salaam.
Mmoja
wa wanachama wa Mfuko wa PPF mwenye ulemavu wa kusikia akiendelea
kufatilia mada mbali mbali kwenye mkutano huo kupitia mkalimani wa lugha
ya alama.
Wadau wakipitia kablasha la PPF.
Picha ya pamoja na washindi wa Tuzo mbali mbali zilizotolewa na Mfuko wa PPF.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Daud Msangi akitoa hotuba fypi ya shukrani kwa niaba ya mifuko ya hifadhi za jamii nchini.
Sehemu
ya washiriki wa mkutano wa mwaka wa 25 wa wanachama na wadau wa Mfuko
wa PPF uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta ya hifadhi ya jamii
na umuhimu wa kuzingatia mabadiliko", ulioanza leo kwenye Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Jijini Dar es salaam.
Post a Comment