0
 Tokeo la picha la breaking news
Watoto wawili wamefariki dunia leo baada ya kudumbukia kwenye kisima cha maji cha jirani yake anayeifamika kwa jina la Nguate, waliofariki dunia ni Pili  Nkoroma (3) Mwanafunzi wa chekechea  na Asnat Sudi Mtutuma (2) wote ni wakazi wa kata ya Nangando tarafa ya Liwale wilayani Liwale mkoani Lindi.

Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 10 jioni katika kijiji cha Mtakuja kata ya Nangando kata rafa ya Liwale wilaya ya Liwale mkoani Lindi kamanda wa polisi wilayani Liwale Raphael Mwandu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo,
Kwa habari zaidi soma >>HAPA<<

Post a Comment

 
Top