Msanii wa muziki wa Bongo Flava na mmiliki wa studio za Sharobaro
Records, Bob Junior amesema mashabiki wakae mkao wa kula na project yake
mpya kutoka kwa msanii aitwaye Nana na kazi mpya kutoka Bonge la Nyau.
Akiongea na mtangazaji Smashratino wa Rasi FM ya Dodoma amesema mwezi ujao ataachia video yake mpya pamoja na audio kutambulisha wasanii wapya.
“Mwezi huu wa tatu kuna ngoma natoa hii ni ahadi ya mwisho video pamoja na audio pamoja na wasanii wangu pia na wimbo wa Bonge la Nyau na wasanii wangu, mmoja anaitwa Nana na mwingine Jicho Gold,” amesema.
“Hawa nyimbo zao zitatoka mwezi huu wa tatu na wa nne patakuwa na nyimbo kama tano au sita kutoka Sharobaro Music. Najua mashabiki wangu wana kiu sana na najua Bob Junior huwa naweza kutoka wasanii wachanga ambao wana uwezo.”

Post a Comment