
Lori la
Mizigo lenye namba za usalili T 493 DBR limepiga mweleka na kuangukia
basi la abiria aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T 104 BCT
lifanyalo safari zake kati ya Gongo la Mboto mpaka Simu 200 mapema leo
asubuhi katika ma kutano ya barabara ya Tabara na Mandela, jijini Dar es
salaam. Hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hii ila kuna watu kadhaa
wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.





Post a Comment