|
Waziri
wa
Afya,maendeleo ya jamii jinsia na watoto Ummy Mwalimu amepiga marufuku
biashara ya vyakula katika minada yote iliyopo manispaa ya Dodoma
kutokana na
kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu katika halmashauri ya manispaa ya
Dodoma
huku baadhi ya wafanyabiashara katika soko hilo wakigomea utaratibu huo.
Juu hali ilivyo na Chini waziri wa afya akiwa katika ukaguzi
|
Post a Comment