Chelsea kuchuana na Arsenal
Ligi kuu ya soka ya England inatarajiwa kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kumi baada ya mapumziko kupisha Mechi za FA.
kesho
jumamosi jumla ya michezo nane itapigwa katika viwanja mbalimbali
ambapo mechi hizo ni ,Norwich city watawaalika
Liverpool,Crystal Palace
watakuwa wenyeji wa Tottenham, Leicester dhidi ya Stoke,Man Utd watakuwa
nyumbani dhidi ya
Southampton, Sunderland watachuana na
Bournemouth,
Watford watakuwa wenyeji wa N
ewcastle, West Brom watawaalika
Aston Villa
na
Man City watakuwa wageni wa
West Ham United.
Jumapili ligi
hiyo itaendelea tena kwa michezo miwili ambapo
Everton watakuwa wenyeji
wa
Swansea city na
Arsenal watakuwa nyumbani Emirate dhidi ya
Chelsea
(The blues).
Post a Comment