0
 Tokeo la picha la mpira
Fomu za ligi ya TFF ngazi ya wilaya ya Temeke kwa ligi daraja la IV & III zimeanza kutolewa leo ktk ofisi za TEFA ambapo fomu hizo zinapatikana kwa ada ya Tshs 35,000/= tu. Mwisho wa kurudisha fomu ni tar 12.02.2016, usaili utakuwa tar 14.02.2016 saa 2:00 asbh ktk ofisi za TEFA. Mapingamizi yataanza kusikilizwa kuanzia tar 15.02.2016 mpk tar 21.02.2016. Ligi itaanza tar 27.02.2016 ktk viwanja vifuatavyo;-
1. Tandika Mabatini
2.
Twalipo
3. Makangarawe
4. Chamazi
5. Mizinga (Kigamboni)

Post a Comment

 
Top