0

Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, Dkt. James

Mataragio, akizungumza na waandishi katika mkutano huo, wengine

ni Mkurungezi wa Usafirishiji na Usambazaji wa Gesi Asilia Dk.

Wellngton Hudson (wa pili kulia) na Meneja Mawasilino-TPDC Marie

Msellemu (wa kwanza kulia) wakiwa katika mkutano.
Mkurungezi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, Dkt. James Mataragio, amesema hali ya uzalishaji wa gesi asilia nchini ni nzuri,

alieleza kuwa mitambo ya kuchakata gesi asilia kule Madimba Mkoani

Mtwara na Songo Songo Mkoani Lindi inao uwezo wa kuzalisha futi za

ujazo milioni 240 za gesi asilia, huku gesi anayo tumika ikiwa futi za ujazo

milioni 146 za gesi asilia. 





Dk. Mataragio ameongeza kuwa mchanganuo huo wa uzalishaji wa gesi

unazidi mahitaji yetu kwa sasa na hivyo kuwa na gesi ya ziada takribani futi

za ujazo milioni 94 za gesi asilia kwa siku (94mmscfd).

Post a Comment

 
Top