Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiokota taka taka katika eneo la ufukwe wa ferry jijini Dar es Salaam.
HAPA KAZI TU ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais huyo akionekana katika
picha akiwa akifanya usafi leo jijini Dar es Salaam.
#UhuruWaUsafi #UsafiDay.
Post a Comment