0


WATU kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya NEW FORCE ONE namba za usajili T483 CTF walilokuwa wakisafiria kutoka Mbeya kwenda Jijini Da es Salaam leo kupinduka  katika eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Morogoro.


Ajali hiyo imetokea mchana huu na jitihada za kusafirisha majeruhi zinaendelea. FK Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na msiba huo na itawajuza zaidi kuhusiana na ajali hiyo.




Post a Comment

 
Top