MATOKEO LIGI KUU YA ENGLAND USIKU HUU…
Stoke City 1-0 Chelsea
Sunderland 0-1Southampton
Leicester City 2-1 Watford
Manchester Utd 2-0 West Bromwich
Norwich City 1-0 Swansea City
West Ham United 1-1 Everton
Bournemouth 0-1 Newcastle United
Mwanasoka wa kimataifa wa Ireland, Whelan akipambana na viungo wa Chelsea, Eden Hazard (kushoto) na Costa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
KOCHA Jose Mourinho amezidi kuwa katika wakati mgumu, baada ya Chelsea kufungwa bao 1-0 na Stoke City Uwanja wa Britannia katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Bao lililoizamisha Chelsea usiku huu limefungwa na Marko Arnautovic dakika ya 53 na sasa Chelsea inaendelea kukamata nafasi ya 16 kutokana na pointi 11 walizovuna katika michezo 12.
Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, Manchester United wameshinda 2-0 dhidi ya West Bromwich Albion, mabao ya Jesse Lingard dakika ya 52 na Juan Mata kwa penalti dakika ya 90 na ushei Uwanja wa
Old Trafford.
United sasa wanapanda nafasi ya nne baada ya kufikisha poibti 24 za michezo 12, wakiwa nyuma ya Manchester City, Arsenal na Leicester City zenye pointi 25 kila moja.
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, bao pekee la Dusan Tadic kwa penalti dakika ya 69, limeipa Southampton ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Sunderland.
Leicester City imeshinda 2-1 dhidi ya Watford mabao yake yakifungwa na N'Golo Kante dakika ya 52 na Jamie Vardy kwa penalti dakika ya 65, wakati Roy Deeney alifiungia Watford kwa penalti penalti dakika ya 75 Uwanja wa King Power.
Norwich City imeshinda 1-0 dhidi ya Swansea City bao pekee la Jonny Howson dakika ya 70 Uwanja wa Carrow Road.
West Ham United imetoa sare ya 1-1 na Everton, bao lao likifungwa na Manuel Lanzini dakika ya 30, kabla ya Romelu Lukaku kusawazisha dakika ya 43 Uwanja wa Boleyn Ground.
Bournemouth imefungwa 1-0 nyumbani na Newcastle United, bao pekee la Ayoze Perez Gutierrez dakika ya 27 Uwanja wa Vitality.

Post a Comment