Mara
baada ya Kumaliza shughuli za Kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya
Tano Ndg John Pombe Magufuli aliingia Uwanjani kama Waziri wa Ujenzi na
Kutoka na Msafara Kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mara
baada ya Rais wa awamu ya nne kumkabidhi wadhifahuo katika uwanja wa
zamani wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment