Mwenyekiti
wa Bodi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), Salimin
Salmin, akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, kabla ya kumkaribisha
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na
Mwasiliano, John Mngodo kulifungua kongamano hilo.
Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano, John Mngodo akilifungua kongamano hilo.
Mgeni
rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano,
John Mngodo akizungumza wakati akilifungua kongamano hilo.
Mgeni
rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano,
John Mngodo akizungumza na washiriki wa kongamano la maadhimisho ya
Siku ya Posta Duniani jijini.
Wafanyakazi
na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi
wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye
jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar
es Salaam. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha
zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkuu
wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia
Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo,
wakati wa kongamano la maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani jijini.
Wafanyakazi
na wadau mbalimbali wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje
ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani
kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA),
jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba
9.
Wafanyakazi
na wadau wa Shirika la Posta na TCRA, nchini, wa ndani na nje ya nchi
wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye
jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar
es Salaam. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9.
Wafanyakazi
na wadau wa Shirika la Posta na TCRA, nchini, wa ndani na nje ya nchi
wakiwa katika Kongamano hilo, la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani
jijini.
Meneja Masoko wa TPC, David George (kulia), akiwa katika kongamano hilo.
Maofisa
wa Shirika la Posta nchini (TPC), wakiwa katika Kongamano la
Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa
Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo,
huadhimishwa duniani kote Oktoba 9.
Meza
Kuu: Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na
Mwasiliano, John Mngodo (wapili kushoto), akiwa pamoja na akiwa na
Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta barani Afrika (PAPU/UPAP, Younouss
Djibrine wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani jijini.
Washindi
wa shindano la kuandika Insha, wakiwa na zawadi na Tuzo zao
walizokabidhiwa na Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati wa kuwatunuku
zawadi washindi katika maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, Dar es
Salaam.
Washindi
wa shindano la kuandika Insha, wakiwa pamoja na wazazi wao, wakionesha
zawadi na tuzo zao walizotunukiwa na Shirika la Posta Tanzania (TPC),
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania
(TPC), Fortunatus Kapinga (kulia) na Ofisa Uhusiano Mwandamizi Mkuu,
Wilfred Miigo (kushoto), wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa
shirika hilo, Elia Madulesi (katikati), wakati wa kongamano la
maadhimisho hayo jijini.

(TPC), Fortunatus Kapinga, akimpongeza mshindi wa kwanza wa shindano la
kuandika Insha, mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya
Kifungilo, Irene Gindo wakati wa kuwatunuku zawadi washindi katika
maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, Dar es Salaam. Wengine ni mshindi
wa tatu, Anna Nnko wa shule hiyo, mshindi wa pili, Anitha Mutarubukwa wa
Seminari ya Wasichana ya St. Joseph, Mwanza na nyuma yao ni Ofisa
Uhusiano Mwandamizi Mkuu wa TPC, Wilfred Miigo.
Kaimu
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania
(TPC), Fortunatus Kapinga, akimpongeza mshindi wa tatu wa shindano hilo,
Anna Nnko wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kifungilo.
Kaimu
Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania
(TPC), Fortunatus Kapinga, akimpongeza mshindi wa pili wa shindano hilo,
Anitha Mutarubukwa wa Seminari ya Wasichana ya St. Joseph, Mwanza.
Post a Comment