1
Nyumba  moja yateketea kwa moto Leo majira ya saa 2 asubuhi katika Kota za nyumba za watumishi wa hospitali ya wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
Nyumba hiyo ilikuwa  inatumiwa na miongoni mwa watumishi wa afya wanaofanya kazi katika hospitali ya wilaya katika tukio hilo chanza cha kuzuka moto huo inasemekana ni shoti ya umeme.
Mashuhuda waliokuwa kwenye tukio wakiongea na blog hii walisema chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme na jitihada ya kuuzima moto huo ulishindikana kwa kukosa vifaa vya kuzimia moto.
Hizi ni baadhi ya picha katika tukio hilo

Post a Comment

  1. POLEN WATUMISHI WENZANGU WA WIZARA YA AFYA WILAYA YA LIWALE


    ReplyDelete

 
Top