Takriban watu
wanane wameuawa katika mji mkuu wa Burundi,Bujumbura katika tukio
lingine linalohusiana na maandamano ya kupinga hatua ya rais wa nchi
hiyo
Rais Pierre Nkurunziza, alipoamua kuania muhula wa tatu wa uongozi. Mwandishi BBC mjini humo, anasema baadhi ya miili
ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, na inaelekea walifungwa kwa
kamba kabla ya kuuwawa.
Hii ni baada ya miili ya watu kupatikana mabarabarani na wakaazi wa vitongoji vya Bujumbura.
Mwandishi BBC mjini humo, anasema aliona maiti barabarani katika mitaa ya kaskazini mwa mji.
Alisema, baadhi yao wamepigwa risasi kichwani, na inaelekea walifungwa kwa kamba kabla ya kuuwawa. Maandamano ya kupinga hatua ya rais wa nchi hiyo
Rais Pierre Nkurunziza, kuania muhula wa tatu wa uongozi
Mapambano yalianza jana asubuhi, kwa risasi na maguruneti.
Afisa
mkuu wa Polisi katika eneo hilo la Mutakura, Pierre Nkurikiye
amewalaumu wahalifu kwa maafa hayo, lakini mitaa ya kaskazini mwa
Bujumbura ni shina la upinzani dhidi ya Rais Pierre Nkurunziza.
Miili
6 ilipatikana katika kitongoji cha Cibitoke, ambacho kimekuwa shina la
maandamano ya kupinga muhula wa tatu wa rais Pierre Nkurunziza.
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Ki...Read more »
kuzoeana baina ya wanandoa ni jambo zuri, kwa maana ya kila mmoja kumfahamu mwenzake, lakini kuzoeana huku kunaweza kuzalisha dharau hususani kwa...Read more »
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionHuenda ndege zikatengezwa bila madirisha katika siku za usoni.
Kampuni ya ndege ya Emirates imezindua nd...Read more »
Image captionMaandamano yamefanyika mjini Nairobi siku ya Jumatatu kulalamika kuhusu tuhuma za ubakaji katika shule ya Moi Girls Nairobi
Walimu pamoj...Read more »
Operesheni ya mwisho ya Tundu Lissu imefanyika na kumalizika salama.
Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alifanyiwa op...Read more »
Haki miliki ya pichaAFPImage captionBado muswada unahitaji kupitishwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kufanya kazi.
Bunge nchini Rwanda...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.