Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za
Ulaya, Judith Sergentine (kushoto) na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya
Tanzania, Filiberto Cebregondi, wakati walipofika ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuwasili
nchini. Picha na OMR
 |
| Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mwangalizi Mkuu wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Nchi za
Ulaya, Judith Sergentine (wa tatu kulia kwake) na Balozi wa Umoja wa
Nchi za Ulaya Tanzania, Filiberto Cebregondi, (katikati yao) wakati
walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Sept 30, 2015
kwa ajili ya kujitambulisha baada ya kuwasili nchini. Picha na OMR |
 |
| Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 30,
2015 kwa ajili ya kumuaga rasmi akienda kuanza kazi nchini Malawi. Picha
na OMR |
 |
| Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Malawi,
Victoria Mwakasege, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Sept 30, 2015 alipofika kumuaga rasmi akienda kuanza
kazi nchini Malawi. Picha na OMR |
Post a Comment