TUME ya Taifa ya Uchaguzi,
NEC, jana Agosti 20, 2015,
imetoa ratiba ya muda
ambao wagombea kiti cha
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
watarejesha fomu za kuomba
kuteuliwa kuwania nafasi
hiyo, Ijumaa Agosti 21, 2015.
Mgombea atakayefungua
pazia ni Mh. Fahmi Dovutwa
wa UPDP, akifuatiwa na Mh.
Edward Lowassa wa
CHADEMA, anayewakilishwa
vuguvugu la Umoja wa
Katiba ya Wananchi, UKAWA
na kisha mgombea wa Chama
Cha Mapinduzi CCM, Dkt.
John Pombe Magufuli naye
atafuatia. Ratiba kamili hiyo
hapo chini
NEC, jana Agosti 20, 2015,
imetoa ratiba ya muda
ambao wagombea kiti cha
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
watarejesha fomu za kuomba
kuteuliwa kuwania nafasi
hiyo, Ijumaa Agosti 21, 2015.
Mgombea atakayefungua
pazia ni Mh. Fahmi Dovutwa
wa UPDP, akifuatiwa na Mh.
Edward Lowassa wa
CHADEMA, anayewakilishwa
vuguvugu la Umoja wa
Katiba ya Wananchi, UKAWA
na kisha mgombea wa Chama
Cha Mapinduzi CCM, Dkt.
John Pombe Magufuli naye
atafuatia. Ratiba kamili hiyo
hapo chini
Post a Comment