0

Waziri mkuu wa Ugiriki Alexis Tsipras
amepanga kufanya duru nyingi ya
mazungumzo leo na wawakilishi wa pande
zilizoikopesha nchi yake, kabla ya mkutano
muhimu wa mawaziri wa fedha wa kanda
inayotumia sarafu ya euro, ambako pande
zote zinatumai suluhu itafikiwa ili kuinusuru
nchi hiyo isifilisike.

Post a Comment

 
Top