Visiwani Zanzibar zoezi la uandikishaji
wapiga kura katika daftari jipya la kudumu
leo limeingia mjini Magharibi lakini kama
ilivyotokea mkoa wa kasikazini ilibidi askari
wa usalama kupiga risasi juu na mabomu
ya machozi tukio lililozusha hofu wakati wa
kuanza zoezi hilo.DW
Post a Comment