0

Wafiwa (familia ya member bwana Bahati Ndupo aliyefariki dunia Jana katika hospitali ya Liwale mkoani Lindi) wanashukuru kwa kutoa na kupokea mchango kutoka kwa kikundi cha LIWALE group & LIWALE native kupitia facebook & whatsapp kwa kuwakabidhi mchango kiasi cha Tsh 46500/= (Elfu arobaini na sita na mia tano).
_----------------------
Walitoa mchango kwa njia zifuatazo

Airtel money
Rafii Bambaku 5000
Abdul mahomba 5000
Juma manjanjagara 5000
Moshi abdala 1500
Jumla= 16500-1000 makato ya kutolea
=15500

Tigo pesa
Ashura yusuph 5000
Rehema mohamedi 5000
Bashiru chenyengo 2000
Jumla 12000-1200 makato/ada
=11000

M pesa
Ligalawike 6000

Taslimu/mkononi
Nasoro ABASI 2000
Hamisi Kadanje 2000
Mwandae mchungulike 2000
Sadam kolela 2000
Dk .kabunga 4000
Aisha mkoma 2000
Jumla=14000
--------------
15500+11000+6000+14000=46500/=

Waliowasilisha mchango kwa niaba ya group
Hamisi kadanje
Mwandae mchungulike
Sadam kolela

Post a Comment

 
Top