0

Scweinsteiger
Klabu ya Manchester United ina hamu ya
kumsajili kiungo wa kati wa Bayern Bastian
Schweinsteiger na mlinzi wa Real Madrid
Sergio Ramos.
Kocha wa klabu hiyo Louis Van Gaal
anajaribu kuimarisha kikosi chake baada ya
kumaliza katika nafasi nne katika jedwali la
ligi ya EPL.
Schweinsteiger mwenye umri wa miaka 30 na
Ramos mwenye umri wa miaka 29 ni kati ya
wale wanaomvutia.
Kandarasi ya Ramos itakamilika mwaka 2017
huku ile ya Schweinsteiger ikiendelea hadi
mwisho wa mwaka 2016.

Post a Comment

 
Top