Brazil waishinda Venezuela na kuingia robo
fainali
Thiago Silva na Roberto Firmino walifunga bao
moja kila mmoja na kuisaidia Brazil kujikatia
nafasi ya kuingia katika robo fainali ya
mchuano wa Copa America baada ya
kuilambisha sakafu Venezuela.
Silva alifunga kona maridadi baada ya kupata
pasi kutoka kwa Robinho huku akianza mechi
hiyo kwa nafasi ya Neymar baada ya kupigwa
marufuku katika michuano hiyo.
Awali Firmino aliipinda krosi ya Miku na
kufunga bao la kufutia machozi.
Sasa Brazil itakwaruzana na Paraguay katika
mchuano wa robo fainali mnamo siku ya
Jumamosi.
Colombia na Peru pia zilifuzu baada ya
kutoka sare tasa mapema mchana.
Katika michuano mingine ya robo fainali,
Chile itavaana na Uruguay Ijumaa, Juni 25,
Bolivia wavaane na Peru, huku Argentina
wakikwaruzana na Colombia, ilihali Brazil
itakung'utana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment