0

Waathiriwa wa picha za ngono katika mtandao
wa Google wataruhusiwa kutuma ombi kwa
kampuni hiyo la kuziondoa picha hizo.
Picha hizo zitaendelea kuwa katika mtandao
huo lakini hazitaorodheshwa katika picha
wakati wateja watakapozitafuta.
Makamu wa rais wa kampuni hiyo Amit
Singhal amesema kuwa mpango huo
utashirikisha picha za uchi na zile zenye
uchafu mkubwa.
Google hapo awali ilikataa jaribio la kuitaka
kuondoa picha kama hizo katika picha
zilizoorodheshwa katika mashine yake ya
utafutaji.
Mpango huo mpya unatarajiwa kuanza
kufanya kazi katika kipindi cha wiki chache
zijazo.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top