0


                                               Ndugu NASSORO ABASI MKURUNGUCHE
Aliyechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Liwale mkoani Lindi ndugu Nassoro Abasi Mkurunguche kupitia chama cha wananchi (cuf),leo amerudisha fomu hiyo katika ofisi za chama hicho katika tukio hilo ambapo kuliambatana na matembezi ya vijana na wazee ambayo matembezi hayo yalianzia katika boma ya zamani kuelekea ofisi za chama hicho ili kumsindikiza na kumuunga mkono kurejesha fomu baada ya kukamilisha taratibu zote za kujaza.
             hapa yalipoanzia matembezi ya kusindikiza na kumpa sapoti mgombea ubunge

Post a Comment

 
Top