0
 Hii ndiyo ratiba kamili ya matembezi ya kumuunga mkono vijana wa Liwale ndugu NASSORO ABASI MKURUNGUCHE mwenye nia ya kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Liwale kupitia chama cha wananchi (CUF)
Wakazi wa liwale mjinina viunga vyake munaombwa kuhudhuria kwenye matembezi yenye lengo la kumuunga mkono na kumtia nguvu kijana wenu katika harakati zake za kuomba ridhaa ya kuwatumikia wanaliwale katika nafasi ya ubunge.
Matembezi hayo yataambatana na zoezi la kurudisha fomu (ngazi ya chama) yatakayofanyika kesho tarehe 9/3/2015 majira ya saa 9:00 alasiri yatakayoanza katika viwanja vya mnara wa mashujaa Boma ya zamani na kuishia ofisi za CUF kata ya Nangando.
BARABARA ZITAZOTUMIZA KWA MATEMBEZI HAYO KAMA IFUATAYO.
>>Boma ya zamani kona ya RTC,kona ya RTC-SIDO,SIDO-TANESCO-Ujenzi,Ujenzi kwa MZEE MAUTANGA-MZEE MAUTANGA OFISI YA CUF WILAYA-TRA-JUMA KHALFANI STATIONAR-NATICO-LINDOTA-COUNCIL-OFISI ZA CUF KATA YA NANGANDO.
NASSORO ABASI MKURUNGUCHE

WASIFU WAKE.
*Kazaliwa wilayani Liwale  June 18,1988
ELIMU YAKE
*Amehitimu shule ya msingi Liwale mwaka 2004
*Amehitimu elimu ya sekondari Mzumbe Morogoro mwaka 2008
*Amehitimu kidato cha 6 sekondari ya Ndanda mwaka 2011
*Amehitimu chuo kikuu cha SAUT Mwanza Novemba mwaka 2014 (Alichukua shahada ya utawala wa biashara, uhasibu na masuala ya fedha)BBA

KWA MAONI NA USHAURI
SIMU NO +255718475111
EMAIL:nassoroabbas@gmail.com

Post a Comment

 
Top