0

Hili ndilo shimo lililochangia kutokea kwa ajali na nimefukiwa usiku 

HII ni sehemu ya tukio la ajali yenyewe
Inasadikika watu zaidi ya 42 wamefariki
dunia kwa ajali mbaya eneo la
Changalawe, Mafinga yaliyo makao
makuu ya wilaya ya Mufindi mkoani
Iringa. Ajali hiyo imehusisha basi
(Majinja) lililotokea Mbeya kuelekea Dar
es Salaam wakati likipishana na lori
lililotokea Dar kwenda Mbeya. Lori hilo
liligonga basi na kuliangukia.
Kuna habari kwamba dereva wa lori
alikua akikwepa shimo 

Post a Comment

 
Top