Aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini Ndugu Zitto Kabwe amesema hatagombea nafasi ya Uenyekiti katika chama alichojiunga
nacho hivi karibuni cha ACT. Amesema hayo muda mfupi kupitia redio E FM katika kipindikatika mahojiano kinachoitwa 'Mezani'.
Zitto anasema tayari nafasi zote zimeshajazwa fomu na zimerudishwa tayari
na yeye hakujaza fomu za kugombea.
Anasema wote wale waliosema amekwenda ACT ili
awe kiongozi watakuwa wameumbuka
Post a Comment