0

Bondia Mohamed Matumla amefanikiwa kutoka kimasomaso baada ya kumchapakwa points bondia mwenzake kutoka nchini China Wang Xin Hua katikampambano wa raundi 10 uliofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubileejana usiku. Mpambano huo ulikuwa ni wakuwania nafasi ya kucheza katika pambano la
utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi
wengi wa masumbwi duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na
Manny Pacquiao unakaochezwa mapema Mei 2, mwaka huu, huko Las Vegas,
Marekani.

Post a Comment

 
Top