Licha
ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha
siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini
Zitto Ruyagwa Kabwe (pichani juu akisaini kitabu baada ya kupewa kadi)
sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya jana Jumamosi ya Machi 21,
kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba
007194.

Hili
limetokea siku moja tu baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na
kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa ACT-Tanzania na
kuahidi kuendeleza mapambano ndani ya chama hicho.
Hili
limetokea siku moja tu baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na
kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa ACT-Tanzania na
kuahidi kuendeleza mapambano ndani ya chama hicho.
ACT-Tanzania:
kirefu chake ni Chama cha Alliance for Change and Transparence Makao
makuu ya chama hicho yapo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.