0


Moto umeibuka katika hostel za chuo cha UDSM zilizoko Mabibo (Mabibo hostel) na bado unaendelea hadi sasa ila chanzo hakijajulikana.Waziri Mkuu wa Serikali ya wanafunzi wa chuo hicho cha UDSM Bwana Gibson George amesema kuwa chanzo hakijajulikana na nini ila moto umesambaa maeneo mbalimbali ya hosteli hizo.




Kwa taarifa ambazo zimetufikia muda huu zinadai kuwa Bweni la Wanaume Mabibo Hosteli jijini Dar es Salaam linaungua moto muda huu, bado sababu na chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi





"Watu wa zimamoto tumewapigia mapema sana ila wamechelewa kufika hadi muda huu ndio wamefika, tumejaribu kuuzima moto na umepungua kidogo japo bado unaendelea kwa baadhi ya vyumba" alisema Waziri Mkuu huyo

Post a Comment

 
Top