0

LICHA YA MASHABIKI WA ARSENAL, WENGI WAKIWA WA BONGO KUMUONA HANA LOLOTE, MSHAMBULIAJI MFARANSA WA ARSENAL AMEENDELEA KUIBEBA TIMU YAKE BAADA YA LEO KUFUNGA MABAO MAWILI WAKATI IKIISHINDA NEWCASTLE KWA MABAO 2-1.
USHINDI HUO UMEIFANYA ARSENAL KUFIKISHA POINTI 60 KATIKA NAFASI YA TATU NA KUZIPA PRESHA KUBWA MAN CITY YENYE POINTI 61 KATIKA NAFASI YA PILI NA CHELSEA KILELENI IKIWA NA 64.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top