0
                      mbele ya gari ilikuwa hali hii


                         baadhi ya wahanga wakiangalia gari maeneo ya tukio
                            wananchi waliokuwa maeneo ya tukio

                          hali ya show ya mbele ya gari hali ni mbaya abirua walitokea mbele ya gari


BASI LA PRINCE MARIA LENYE NAMBA T987CVA lillilotoka jijini Dar es salaam kwenda Liwale mkoani majira ya saa 5 na nusu asubuhi lilipata ajali maeneo ya Nangurukuru baada ya kushindwa kukunja kona na kudumbukia kwenye karavati na kujeruhi abiria,majeruhi idadi yake haikufamika mara moja lakini katika tukio hilo hayupo aliyepoteza uhai hadi kamera yetu inatoka eneo la tukio.

Post a Comment

 
Top