0
                Wakazi wa kijiji cha miguruwe kilwa akitoa msaada wa kuzima moto
      Moto wapamba moto kwa kasi lakini juhudi za kuzima zikifanyika lakini ziligonga mwamba
               baadhi ya vitu vilivyookolewa kwenye nyumba hii inayoungua moto
     akina mama wakimbia kufuata maji ili wazime moto huo lakini ulikuwa unaongezeka zaidi kuwaka
  Moto wateketeza nyumba na mali katika kijiji cha miguruwe-kilwa tukio hili limetokea majira ya saa 3 asubuhi,huku Chanzo cha moto huu ilikuwa mafuta ya petrol yaliyokuwa yanauzwa kwenye nyumba hiyo kwa mujibu ya mahojiano yaliyofanyika kwenye tukio hili hadi kamera yetu inatoka eneo la tukio moto ulikuwa unazidi kuongezeka kuwaka na kuzidi kuteketeza mali zilizokuwa kwenye nyumba hiyo.

Post a Comment

 
Top