0

HABARI ILIYOJIRI HIVI PUNDE
 Wananchi wenye hasira wavamia ofisi ya Mtendaji wa kijiji cha Mtua Wilayani Nachingwea mkoani Lindi wataka kuwaua watuhumiwa walioko mahabusu na sasa wamechoma moto ofisi hiyo.

Mpaka sasa taarifa tulizozipata zinasema Watuhumiwa wako Salama na polisi walifika eneo la tukio na moto umewahiwa kuzimwa katika ofisi hiyo ya kijiji cha Mtua wilayani Nachingwea

...........ENDELEA KUFUATILIA HAPA 

Post a Comment

 
Top