0
tela lililo acha njia na kupinduka siku ya tarehe 2/12/2014 maeneo ya kijiji cha Zinga wilayani Kilwa ilokuwa linatokea Dar kuelekea  Wilayani Liwale.
tela lenye namba za usajili T 344 AFD
angalia ajali
tela lilikuwa halina mzigo
katika ajali hii hayupo aliyepoteza uhai wala kujeruhiwa
pia hali ya barabara ya Nangurukuru to Liwale ya ya kuridhisha
Madereva unashauriwa kuwa makini muda huu wa mvua kwakuwa hali ya barabara  na nyakati hizi za mvua hali ni tete

Post a Comment

 
Top