| tela lililo acha njia na kupinduka siku ya tarehe 2/12/2014 maeneo ya kijiji cha Zinga wilayani Kilwa ilokuwa linatokea Dar kuelekea Wilayani Liwale. |
| tela lenye namba za usajili T 344 AFD |
| angalia ajali |
| tela lilikuwa halina mzigo |
| katika ajali hii hayupo aliyepoteza uhai wala kujeruhiwa |
| pia hali ya barabara ya Nangurukuru to Liwale ya ya kuridhisha |
| Madereva unashauriwa kuwa makini muda huu wa mvua kwakuwa hali ya barabara na nyakati hizi za mvua hali ni tete |
Post a Comment