Serikali ya Kenya imetangaza marufuku Wakenya kutafuta ajira katika mataifa ya Mashariki ya kati. Hatua hii imechukuliwa kufuatia kuongezeka kwa visa vya Wakenya kunyanyaswa na wengine kufariki mikononi mwa waajiri wakatili hasa nchini Saudi Arabia. Lakini kongamano la kutetea haki za wanawake lililoandaliwa mjini Mombasa, linaikosoa hatua hiyo ya serikali ya Kenya, na kulalamikia ukosefu wa sheria za kuwalinda Raia wake wanaotafuta ajira katika nchi hizo.
WAKENYA MARUFUKU KUTAFUTA AJIRA KATIKA MATAIFA YA MASHARIKI YA KATI

Post a Comment