
Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W.
Mkapa akiongoza mahafali ya tano ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika jana
katika eneo la Chimwaga,ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma leo.
Sehemu ya
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo mara
baada ya kutunukiwa Shahada zao mbali mbali jana.wa pili kushoto ni Mtoto
wa Ankal bi. Zahra Muhidin Michuzi.

Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W.
Mkapa akiwatunuku Shahada ya Uzamivu wahitimu mbali mbali katika Chuo
Kikuu hicho cha Dodoma jana.


Wahitimu wa Shahada mbali mbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo.

shangwe kwa wahitimu hao.

Brass Band ya Jeshi la JKT ikiongoza Mahafali hayo.

Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W.
Mkapa akifunga mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha Dodomajana



























Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.