Vijana wa
Bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana wakati akiwasili Mtwara mjini ambapo alishiriki shughuli mbali
mbali za kujenga na kuimarisha chama pamoja na kukagua utekelezaji wa
ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mikindani mara
baada ya kukabidhi leseni kwa madereva 70 wa boda boda waliohitimu
mafunzo chini ya udhamini wa Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji
Wananchi wa Mikindani mkoani Mtwara wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa vikundi vya
Bodaboda zilizotolewa na Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji
Mbunge wa
Mtwara mjini Hasnain Murji akihutubia wakazi wa Mikindani baada ya
kuwakabidhi leseni madereva 70 wa boda boda na kuwakabidhi pikipiki tatu
kama mtaji wa kuendeleza vikundi vyao.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ukarabati wa ofisi ya CCM
kata ya Majengo iliyochomwa moto wakati wa vurugu za gesi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ukarabati wa ofisi ya
CCM kata ya Majengo iliyochomwa moto wakati wa vurugu za gesi
Katibu Mkuu wa CCM akiwasalimia wakazi wa kata ya Majengo alipotembelea kujionea maendeleo ya ukarabati wa ofisi ya CCM .
Wananchi
wakishangilia msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
aliyewasili mkoani Mtwara ambaye anategemewa kufanya mkutano mkubwa wa
hadhara siku ya Jumapili tarehe 30 Novemba 2014.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha maji mama mmoja mkazi wa
mtaa wa Mwera kata ya Chikongola baada ya kuzindua mradi wa kisima cha
maji kilichofadhiliwa na Mbunge wa Mtwara mjini Hasnain Murji
Katibu Mkuu
wa CCM akiangalia kazi za kikundi cha wakina Mama wa Matopeni ambao
wapo zaidi ya 200 na wanajishughulisha na shughuli mbali mbali za
ujasiriamali Mtwara mjini.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la mradi wa
ufugaji kuku wa mayai wa kikundi cha akina mama cha Rahaleo.
Katibu Mkuu wa CCM akiangalia kuku wa mayai wanaofugwa na kikundi cha akina mama wa Rahaleo.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kushona viatu pamoja na
fundi viatu Abeid Yusufu Likanga (ambaye ni mlemavu wa miguu) wa kata ya
Rahaleo mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu
wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wa chama wakiangalia
maendeleo ya uchimbwaji wa mfereji unaopeleka maji baharini katika kata
ya Shangani.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikara utepe kuashiria uzinduzi wa
tawi la CCM Chuo cha Utumishi wa Umma kwenye ofisi za CCM wilaya ya
Mtwara mjini.
Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akigutubia wanafunzi wa Chuo Cha
Utumishi Mtwara mara baada ya kuzindua tawi lao la CCM.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi Katiba ya CCM kwa Katibu wa Tawi la Chuo Cha Utumishi Mwamvua Patrick.
Katibu Mkuu
wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa wa
halmashauri kuu ya wilaya ya Mtwara mjini kwenye kikao kilichofanyika
ukumbi wa VETA
Katibu Mkuu
wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa wa halmashauri
kuu ya wilaya ya Mtwara mjini kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa
VETA ambapo alisisitiza wajumbe wasahau yaliyopita na kusimama kukijenga
chama
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.