Msanii huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya kuletvya
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiji Dar es Salaam
wakati akisafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kutumbuiza.
Upande wa mashitaka ukiongozwa na mawakili wawili Ofmed Mtenga na
Leonard Challo mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema, umesema upelelezi bado
haujakamilika nakutaja tarehe ya kusikilizwa kesi hiyo Desemba mosi.
Post a Comment