Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa, Aggrey Mwanri
(katikati) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa (ALAT), Dr.
Didas Masaburi (kushoto) kuingia kwenye ukumbiwa mikutano wa hoteli
ya Kunduchi jijini Dar es salaam kufungua semina ya ALAT Novemba
10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu, Mizengo PInda akihutubia wakati alipofungua semiana ya Jumuiya
ya Tawala za Mitaa kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi jijini Dar e
salaam Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi
ya washiriki wa Semina ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa, ALAT
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semina yao
kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi Jijini Dar es salaam Novemba 10,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
washiriki wa Semina ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) baada ya
kufungua semina semina yao kwenye hoteli ya Kunduchi jijini Dar es
slaama Novemba 10, 2014. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mk,uu. Aggrey Mwanri na kulia kweke ni Mwenyekiti wa ALAT,
Dr. Didas Masaburi, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri (wapili
kulia), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa, Dr. Didas Masaburi
(kushoto) na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda baada ya
kufungua semina ya ALAT kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi jijini Dar
es salaam Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
MKuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya
Tawala za Mitaa (ALAT) baada ya kufungua semina yao kwenye ukumbi wa
hoteli ya Kunduchi jijini Dar es salaam Novemba 10, 2014.Kushoto ni
Mwenyekiti wa ALAT, Dr. Didas Masaburi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment