0
       Hivi ni vyumba vya madarasa vilivyofanyiwa ukarabati katika shule ya msingi Mangirikiti
 
Mbunge wa jimbo la  Liwale Mhe.Faith Mitambo ametoa kiasi cha shilingi milioni 5 kwa lengo la ukarabati wa vyumba vya madarasa yaliyokuwa yamechakaa sana katika shule ya msingi Mangirikiti.
Sasa yapo vizuri na ameahidi kutoa pesa nyingine kwa ajili ya madarasa yaliyobaki ambayo nayo hayapo katika hali nzuri.

Post a Comment

 
Top