0




                                                                                                                                                                                                  Hatua ya robo fainali ya kugombea Ng`ombe kutimua vumbi tarehe 15/7/2014 kati ya New generation Vs Liwale stars zitakazo pambana katika uwanja wa wilaya Liwale mchezo ambao unasubiliwa kwa hamu na mashabiki wa hapa liwale.

   Katika mchezo huu kiingilio kitakuwa shilingi 500/= tu njoo jionee mwenyewe usikubali kusimuliwa kwani kila timu zinajigamba kama itaibuka na ushindi katika mchezo huo.


SWALI GUMU LAKINI RAHISI

JE  FAINALI NG`OMBE ATABEBA NANI?  

__________________________________________________

Post a Comment

 
Top