0

Hawa ni wafagizi walioajiliwa na halmashauri ya Liwale wakiwa wanachapa kazi maeneo ya sokoni wakiwa wamevalia mavazi maalumu ya kujikinga.Wakiongea na LIWALE YETU BLOG mmoja wa wafagizi alisema"wamefurahishwa kwa kupata vifaa hivi vya kujikinga na vumbi na bakteri"
 

USHAURI WA BLOG HII 
KILA MTU ANAPASWA KUTUNZA MAZINGIRA NA TAKATAKA ZITUPWE SEHEMU HUSIKA.

Post a Comment

 
Top