0
MWAGAMWAGA Vs VETERAN
TIMU ZIKIWA TAYARI KUTOA BURUDANI
 
Burudani ya aina yake iliyokuwa imefanyika uwanja wa wilaya ya LIWALE kati ya timu ya VETERAN Vs MWAGAMWAGA wote ni wafanyabiashara katika soko la LIWALE .MPIRA kwa kipindi cha kwanza VETERAN waliburuzwa na vijana wauuza mitumba MWAGAMWAGA na kufanyikiwa kuongoza bao 2 kwa bila mpaka mapumziko kipindi cha kwanza.Baada ya kipindi cha mpili mpira ukageuka na kuanza kupokea dozi ya mabao 5 kwa 3 kwahiyo mpaka mwisho wa mpira VETERAN 5 Vs 3 MWAGAMWAGA.

Post a Comment

 
Top