0


 Mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula, Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Mgeni rasmi, Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Wanu Ameir akizungumza kwenye hafla ya siku ya Fistula kwenye hospitali ya Kamtipura mjini Zanzibar jana.katika siku hiyo maalumu Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation. 
 Wananchi wakimsikiliza mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula Duniani na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation. 
Mgeni rasmi na viongozi wengine wakiomba dua baada ya hafla hiyo ya siku ya Fistula Duniani jana,ambapo alitoa mada na elimu kwa Umma kuhusina na tatizo hilo linalowakabili wakina mama.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.

Post a Comment

 
Top